#Adonai ni neno la kiebrania,, kwenye Biblia tunayoyotumia huwez pata ila kwenye biblia ya Kiebrania
Ni maneno
(majina ya kumuinua au kumsifu Mungu)
yako Machache kwenye Biblia
Mfano wa majina hayo π
Tambua Majina ya Mungu na Maana zake
Majina haya yapo katika Lugha za kiebrania Mara nyingi tumekuwa tukiyataja pasipo kujua maana zake,fuatilia ili ujifunze
Tambua Majina ya Mungu na Maana zake
1. ADONAI-Mungu Mwenye Enzi Yote Mwanzo 15:2-8
2. EL – SHADAI-Mungu ututoshelezae/Mungu mtoshelezi
Mwanzo 17:1
3.EL-OHEENU- Bwana Mungu Wetu Zaburi 99:5,8,9
4. EL- GIBBOR- Mungu Mwenye Nguvu, Isaya 9:6-9
5. EL-OHEEKA- Bwana Mungu Wako Kut 20:2,5,7
6. EL-ELYON -Mungu Aliye Juu Sana Mwanzo 14:18
7. EL-OHIM- Muumbaji wa Milele Mwa 1:1
8. YEHOVA- SABAOTH Bwana wa Majeshi 1Samwel 1:3
9. JEHOVA TSIDKEMU -Bwana ni Haki Yetu Yeremia 23:6
10. JEHOVA RAPHA- Mungu Atuponyae,kutoka 15:26
11. JEHOVA MEKADDISHKEM- Mungu atutakasaye Kutoka 31:13
12. JEHOVA ROHI-Bwana Mchungaji Wangu Zaburi 23:1
13. JEHOVA JIREH- Mungu Atupaye /Atoaye Mwanzo 22:14
14. JEHOVA HOSEENU -Bwana Aliyetuumba Zaburi 95:6
15. JEHOVA NISSI- Bwana ni Beramu (Bendera)
yangu
Kutoka17:15
16. JEHOVA SHALOM -Bwana ni Amani, waamuzi 6:24
17. JEHOVA SHAMMAH -Bwana Yupo Hapa, Ezekiel 48:35
18.El-hai-Mungu aliyehai,Joshua 3:10,1 Samwel 17:26
19.El-elohe-israel-Mungu wa Israel, Mwanzoh 33:20
20.El-Olam-Mungu wa milele,Ufunuo 4:8,kutoka 3:14
Barikiwa mpendwa
ReplyDeleteBarikiwa
ReplyDeleteThanks a lot
ReplyDeleteNimeipenda hii, ubarikiwe sana
ReplyDeleteNini maana ya Eliel
ReplyDeleteThanks a lot
ReplyDeleteππsana
ReplyDeleteAsante sana.
ReplyDeleteππ½ππ½
ReplyDeleteUbarikiwe sanaπ€²ππ
ReplyDeleteNini maana ya jina nadia
ReplyDelete