Kabla ya kuanza kuzungumzia mawe 12 ambayo mungu/joshua aliyaweka katikati ya mto yordani,kwanza tuyaangalie mawe mengine 12 ya makumbusho ambayo yoshua aliyaweka huko Galgali kama sehemu ya ukumbusho kwa vizazi vya israeli
*Yoshua 4:6-7*
*Yoshua 4:6-7*
Mawe haya yalikuwa ishara ya ukumbusho kwa vizazi vyetu kuwa bwana Mungu aliwavusha wana wa israeli mto yordani na kuwapeleka kaanani,nchi aliyowaahidia mababu zao ambayo musa hakuweza kufika uko.Maandiko yanasema kaanani ni nichi ya machweo ya jua,ikiwa inaamaanisha nchi ya mapumziko.
*Yoshua 3*
*Yoshua 3*
Baada ya hayo,*Yoshua 4:9*
Yoshua anayachuku mawe 12 ambayo ni sawa na makabila 12 ya israeli na kwenda kuyaweka katikati ya mto yordani pale wale makuhani waliokuwa wamebeba sanduku la angano ilikuzuia maji yasije yakawaangamiza waisraeli waliokua wakivuka wamesimama..

Je,Nini maana ya mawe haya?
Kabla ya kujua maana ya mawe haya,lazima tutambue kuwa kwenye biblia maana hii haijaelezwa kimwili.
Kabla ya kujua maana ya mawe haya,lazima tutambue kuwa kwenye biblia maana hii haijaelezwa kimwili.
Yoshua aliwaagiza wana wa israeli mawe 12 Ambapo kila kabila kibebe jiwe moja na yakawekwe pale katikati lilipokuwa sanduku la agano la Mungu..
Hii inamaanisha kuwa maji yatakaporudi ,basi yale mawe yatafunikwa na hayataweza kuonekana tena hii kupelekea kusahaulika kamwe tofauti na yale mawe mengine yaliyowekwa kama ukumbusho galgali.
Maana halisi ya haya mawe katikati ya yordani ni hukumu/ghadhabu ya Mungu kwa wote ambao hawajakubali,hawatakubali kumpa yesu maisha ili awavushe ng'ambo ya yordani na kuwapeleka nchi ya ahadi kama yale mawe mengine 12.Watu hawa wanafananishwa na mawe 12 katikati ya yordani ambayo maji yakirudi/hukumu ikija hawataonekana tena.
Kwanza tuangalie maana ya neno *Yordan*
Yor-spread/sambaza
dan-Judginh/hukumu
Yor-spread/sambaza
dan-Judginh/hukumu
Maana yake inakuwa SAMBAZA HUKUMU OR SPREAD JUDGING.
Hii ndiyo maana ya neno Yordani kiebrania.
Hii ndiyo maana ya neno Yordani kiebrania.
Pia Mungu anaonekana kutumia maji kama silaha au ishara ya hukumu mara kadhaa kwenye maandiko.Tembelea maandiko haya.
-MWANZO 7:10
-WAEBRANIA 11:7
-KUTOKA 12:48
-YONA 2:3
-MWANZO 7:10
-WAEBRANIA 11:7
-KUTOKA 12:48
-YONA 2:3
Mungu alimchagua Joshua kuwaongoza wa israeli kuelekea nchi ya ahadi.
Joshua alikuwa ni picha halisi ya Yesu kristo.Tuangalie maana ya neno Joshua.
Wakati anazaliwa alipewa jina la OSHEA ikiwa inamaanisha ukombozi au salvation baada ndipo musa akaongezea neno YAHWEH linalomaanisha Mungu au God ndipo jina lake likasomeka kama YEHOSHUA kwa kiingereza ndio Joshua linalomaanisha God salvation sawa na YESU ambaye jina lake maana yake ni mkombozi wa dhambi
*Hesabu 13:16*

kwa hiyo joshua alikuwa alama ya yesu.
Yale mawe 12 katikati ya yordani ni watu wanaoukataa wokovu wa Yesu/wapo dhambini ambao wamebaki kwenye maji na hawajahesabiwa ili kuvuka kwenda nchi ya ahadi kama yale mawe mengine 12 yaliyovuka ng'ambo.
kama tulivyoona awali,mishari mingi ya biblia inavyoonesha Mungu alivyotumia maji kama hukumu
*Zaburi 18:16* na *Zaburi 69:14-15*
*Zaburi 18:16* na *Zaburi 69:14-15*
YESU katika MATHAYO 4:19 na LUKA 1:17 anawaambia wanafunzi wake kuwa wamfuate yeye naye atawafanya kuwa "wavuvi wa watu"
Alikuwa anamaanisha injiri itawatoa watu kutoka majini/dhambini na kuwaleta nchi kavu.Pia yale mawe 12 ya Galgali ni ishara ya wokovu wa Mungu.
Yoshua 4:5
Yoshua 4:5
Lile sanduku la agano lililobebwa na makuhani na kuzuia maji yasijae yordani na pakavu paonekane ni ishara ya yesu kristo ambaye ni mkombozi wa watu.Yeye husimama katika ili kuwavusha watu kutoka dhambini na kuwapeleka nchi ya ahadi/wokovuni
YALE MAWE KATIKATI YA YORDANI MAANDIKO YANASEMA YAPO MPAKA LEO HII,HII INAMAANISHA HUKUMU YA MILELE KWA WALE WASIOLIAMINI NENO "YESU"
*1WAKORINTHO 16:23-34*
Shaloom
Post A Comment:
0 comments: