Je wajua kama Yesu kabla ya agano jipya kutimia,bado uwepo wake ulikuwepo duniani kwa aiba tofauti tofauti?
1.Kama malaika wa Bwana
2.Kama Malaika
3.Kama mzee wa siku
4. Mtu atokaye edomu.
5.Mtu wa vita aliyekutana na Yoshua wakati wa kuiangusha yeriko.
6.Melkezedeki kuhani mkuu
7.Kama neno.
YOHANA 1:1-3
1.Kama malaika wa Bwana
2.Kama Malaika
3.Kama mzee wa siku
4. Mtu atokaye edomu.
5.Mtu wa vita aliyekutana na Yoshua wakati wa kuiangusha yeriko.
6.Melkezedeki kuhani mkuu
7.Kama neno.
YOHANA 1:1-3
Post A Comment:
0 comments: