“Nami nawaambia,ombeni nanyi
mtapewa,tafuteni nanyi mtaona,bisheni nanyi mtafunguliwa”
(LUKA 9:11).
Maombi ni sehemu ya msingi /muhimu sana kwenye
mahusiano yetu na Mungu.Lakini mara nyingi tumekuwa tukipuuzia daraja hili la
msingi la mawasiliano kati yetu na Mbingu.Mara nyingi inatokea hii kwa sababu
hatujui kuomba au tuombe mara ngapi.
“Kadhalika
Roho naye hutusaidia udhaifu wetu,kwa maana hatujui kuomba jinsi
ipasavyo,lakini Roho mwenyewe hutuombea
kwa kuugua kusikoweza kutamkwa”
(WARUMI 8:26).
Hii inaonyesha wazi kabisa ni jinsi gani wanadamu
hatujui kuomba ipasavyo.
KUOMBA
IPASAVYO NI NINI?
Kuomba ipasavyo ni namna ya kuomba /kumwendea Mungu na
kupata majibu au kupata sababu za kutokupata majibu yako.Wanafunzi wa Yesu waliona
maombi yalivyokuwa na madhara katika maisha ya Yesu.Yesu alitumia muda
wake mwingi kwenye Maombi na peke yake.Wanafunzi baadae wakagundua kuwa nguvu
ambazo Yesu anaonekana anazo na utukufu wake wote ni matokeo ya mahusiano mazuri
ambayo alikuwa nayo na baba yake (Mungu).
Walipomuuliza juu ya maombi, Yesu aliwaambia hii
hadithi.
“Akawaambia,
ni nani kwenu aliye na rafiki akamwendea usiku wa manane na kumwambia rafiki
yangu nikopeshe mikate mitatu. kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu atoka
safarini name sina kitu cha kuweka mbele yake.Na yule wa ndani amjibu,akisema
usinisumbue mlango umekwisha fungwa nasi tumelala kitandani mimi na watoto
wangu siwezi kutoka nikupe?Nawaambia ya kwamba ijapokuwa hatoki ampe kwa kuwa
ni rafiki yake lakini kwa vile asivyoacha kumwomba,atatoka na kumpa kadri ya
haja yake. Nami nawaambia,ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona,bisheni
nanyi mtafunguliwa.kwa kuwa kila aombaye hupokea na kila atafutaye huona naye abishaye atafunguliwa.”
(LUKA
11 5-10).
Funguo tatu au mambo matatu ambayo yesu ameyatoa ili
kupata majibu yeu katika maombi ni USTAHIMILIVU
(USUGU), MAKUSUDI NA MAHUSIANO.
Ø USTAHIMILIVU(USUGU)
Funguo ya kwanza ya kujibiwa maombi ni
ustahimilivu (kung’ang’ania).Mungu anatutaka sisi kushikilia ipasavyo ahadi
zake katika maombi.Maombi yetu yote yajengwe kwenye ahadi zake yeye.
“Katika hadithi hapo
juu,yesu hasemi kuwa huyo mtu ataamka kumpa mwenzake mkate kwa sababu ni
marafiki,hasha.Ila ataamka na kumpa mwenzake ile mikate kwa sababua anamsumbua
kwa kung’ang’ania kwake.”
Ukisoma kigiriki LUKA
11:10 inaweza kutafsiriwa hivi “omba na uendelee kuomba utapewa,tafuta na
uendelee kutafuta utapata,bisha na uendelee kubisha mlango na utafunguliwa”
Tukimuomba Mungu,ameahidi
kutupa,Lakini inabidi tusubirie wakati sahihi wa Mungu.Maandiko yanasema yeye
hawahi wala hachelewi.
Ø MAKUSUDI
(BE PURPOSEFUL)
Biblia inasema,sababu kubwa ya sisi
kutokupokea vipawa vya Mungu ni kwa sababu hatujaomba (YAKOBO 4:2).Mungu anataka
watoto ambao wapo tayari kuota ndoto zake.
Yule mtu kwenye ile hadithi alijua
kitu anachokitana na alikuwa na makusudi maalumu ya kwenda kugonga mlango wa
rafiki yake CHUKUA HAJA ZAKO NA UMJARIBU MUNU KWENYE MAOMBI
“Nawe
utajifurahisha kwa Bwana,naye atakupa haja za moyo wako”
(ZABURI
37:4).
MAHUSIANO
NA BABA (PERSONAL RELATIONSHIP)
Kitu cha muhimu sana kwenye maombi
yenye majibu ni mahusiano mazuri na baba wa mbinguni.Yule mtu kwenye ule mfano
pale juu,alimwendea rafiki yake pindi alipokuwa na shida kwa sababu
aliamini,rafiki yake pekee ndiye angeweza kumsaidia.
Watu wawili kwenye biblia ambao
wanasifiwa,au wanaonekana kuwa na Imani kubwa ni Musa na Ibrahimu.Lakini wawili
hawa walifanikisha njia yako kwa sababu walikuwa na mahusiano ya kipekee na
Mungu. YAKOBO 2:23 inasema ibrahimu alikuwa rafiki wa Mungu na KUTOKA 33:11
inasema kuwa Bwana alikuwa anaongea na Musa uso kwa uso,kama mtu anavyoongea na
rafiki yake.Watu hawa walifanya maajabu ulimwenguni.KWANINI WALIFANYA
MAAJABU?.....
Lakini kumbuka,inachukua muda kuwa na
mahusiano ya karibu sana na Mungu.Unaanza
kwa kunuhusisha Mungu kwenye mambo ya maisha yako ya kila siku,tenga muda
maalumu kwa ajiri ya usomaji wa biblia,anza kuombea rafiki zako pia kumbuka
kumshukuru Mungu kwa yale ambayo anajibu kila siku.
Please over please consider proper punctuation especially in writing the great and heavenly names as 'Yesu', Mungu etc.
ReplyDeleteIn your three keys of prayer (Swahili version) Yesu and Mungu are impropery punctuated ( they have been repeatedly written with small letters at the beginning, that is the great mistake.
Thank you very much,we will correct that
DeleteMaisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma
ReplyDeleteKwaheri Gerd Ulrich
Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
ReplyDelete*penda uchawi
* kama unataka ex wako nyuma
* Acha talaka
*kuvunja mawazo
* huponya viharusi na magonjwa yote
* uchawi wa ulinzi
*Ugumba na matatizo ya ujauzito
Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
Whatsapp: +2349046229159
alexvenas001@gmail.com
ReplyDeleteKwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
ReplyDeleteAnasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
*Kama unataka kupata mimba.
*Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
*Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
*Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
*Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
*Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159
Mponyaji ni mungu
Delete