Aliye upande wetu ni mkuu kuliko mkuu wa dunia hii ambaye ni shetani.

1 YOH. 4:4 SUV
Roho mtakatifu azidi kutufunulia siri nzito za ufalme wa mungu ili tuzidi kupata mafanikio hapa duniani na zaidi mbinguni
AMEN!!!!
AMEN!!!!
Tanzania Worships
Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii
Amen
ReplyDeleteAmen
Delete