USIYIYAJUA KUHUSU BIBLIA
1. Mnamo mwaka 1631,kampuni moja ya uchapishaji ilifanya kosa kwenye uchapishaji na kuacha gumzo kwa watu.Katika amri za Mungu zilizopo kitabu cha kutoka,katika amri ya saba neno "not" lili sahaurika na kufanya isomeke "Thou shall commit adultery" ikimaanisha "mzini". Biblia iyo iliyopewa jina " Biblia ya wenye dhambi ama sinners' bible,zimebakia kopi 9 tu dunian mpka leo.
2.Biblia ya King james ina maneno 788,258,mistari 31102,sura 1189 na vitabu 66.
3. Mstari mfupi zaidi kwenye biblia ni Yohana 11:35 "Yesu akalia" na mrefu kuliko yote ni Esta 8:9.
4.mwandishi mmoja kwenye historia,aliandika na kusema kuwa zaidi ya watu milioni 25 waliuwawa na Mungu kwenye biblia ,huku shetani akiuwa watu 60, kumi kati ya hao 60 aliruhusiwa na Mungu awauwe kipindi kile cha ayubu.
5. Ilichukuwa zaidi ya miaka 1000 kiandika agano la kale, uku ikikadiriwa kuchukuwa zaidi ya miaka 50-75 kuandika agano jipya. *NGONGEZA*
Jina adamu lina asiri ya kirumi na limetokana na neno "a da ma" ikimaanisha nchi au ardhi au udongo.
©Man ude
Jina adamu lina asiri ya kirumi na limetokana na neno "a da ma" ikimaanisha nchi au ardhi au udongo.
©Man ude
Mstari mfupi kuliko yote sio huo watu wa Mungu,mfupi ni USIUE
ReplyDeleteMstali mfupi katika agano jipya kwa lugha ya kingeleza kwa lugha ya kiswahili ni 1wathesalonike 5:20.
ReplyDelete