Naam kwa Mara ya kwanza china ya kubaliana na utafiti wa scientists wa Iran 🇮🇷🇮🇷


Itakumbukwa kuwa Virus vya Corona vilianzia China na kuenea hadi Iran ambapo imepelekea watu kupoteza maisha,

hata hivyo Iran iliapa kukabilia na Corona na kufanya tafiti chanzo cha virusi vya Corona, moja ilikuwa Ni kuchunguza iwapo Ni virusi Ni natural au vimetengezwa na mwanadamu,

tufahamu kuwa komandi ya IRGC ndo husimamia maswala aerospace engineering na science and technology Iran kwa lengo la kulinda nchi hiyo,

Katika tafiti mkuu wa IRGC Husein Salami ametoa taarifa na ushahidi wa kuonyesha Corona virus Sio Natural bali Ni biological warfare ambayo imeanzishwa na shirika la CIA ambalo ndo hulinda maslahi ya America kote duniani,

Bwana Salami alieleza baya kuwa Corona Ni silaha ambayo imetengenezwa kwa kukabiliana na G5 ya China pamoja na uchumi wa nchi na ushawishi duniani na kukabiliana na Iran baada ya USA kuona kwamba vikwazo dhiti ya Iran vimefeli,

hata hivyo Serikali ya China iliwatuma scientists wake chini ya komandi CPLA linda nchi kuelekea Iran lengo la kushirikiana kwa ajili ya Corona,

Baada ya wiki 2 Jana waziri wa mambo ya nje wa Chia ametoa taarifa kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa USA ndo mwanzilishi wa Corona,na kuomba USA iweke wazi virusi vilianza lini USA na idadi ya walio ambukizwa na maeneo ambayo Kuna hizo hospital za USA ambazo zimewatenga wagonjwa wa Corona,

hata hivyo Serikali ya Washington imelaani taarifa hiyo ya China na kupelekea kumuita Balozi wa China kulalamika,
hata hivyo taarifa hiyo ya China imeungwa na watalaamu wa Russia,
hata hivyo Iran wameshapata Dawa ya Corona na zaidi ya wagonjwa 730 wamepona,
hata hivyo Iran wametengeneza mitambo ambayo itawezesha kuchunguza sehemu walipo wangojwa wa Corona,
hata hivyo Dawa ambayo Iran wanatengeneza Ni ya kisuna yaani Dawa za kiasili.GRANDMASTER UPDATE👆😳😡
Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: