Maneno haya aliyapata Yohana ambaye alikuwa moja wa wanafunzi wa Yesu kipindi akiwa kisiwani patmo.

Akiwa patmo,yohana alichukuliwa na Roho siku ya Bwana na Mungu akaanza kumuonyesha jinsi siku za mwisho zitakavyokuwa...

Moja ya mistari migumu katika kitabu cha ufunuo wa yohana ni 13:18 unaosema..

Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita. (Ufunuo 13:18)
TafakariL
Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: