Na Mwl Raphael Mtui(0762 731869)

Leo tujifunze kuhusu hekalu ambalo limetikisa dunia, kwa karibu miaka 3000 iliyopita hadi leo!

Hili ni lile Hekalu la Yerusalemu.

Hapa tunamaanisha ni hekalu la Sulemani, ambalo ndilo *Hekalu la Kwanza,* Hekalu la Herode ambalo ndilo *Hekalu la Pili* na kuhusu kujengwa *Hekalu la Tatu.*

Mahali lilipojengwa hekalu hili panaitwa *Mlima wa Hekalu (Temple Mount).*

Ni sehemu muhimu mno mno na yenye historia ndefu.

Ikumbukwe ni katika mlima huu, ndipo ambapo Ibrahimu alielekezwa amtoe sadaka mwanawe Isaka, *Mlima Moria.* Soma Mwanzo 22.

Sehemu hii ipo katika milima ya Yudea.

Katika milima hii ndipo jiji la Yerusalemu lipo.

Ndani ya jiji la Yerusalemu, ndipo kuna ule mji wa zamani wa Yerusalemu *(Old City of Jerusalemu).*

Mji huu wa zamani ndio ule mji wa Yerusalemu tunaousoma kwenye Biblia. Mji huu umezungushiwa ukuta, maana kuingia humo kunahitaji kufuata utaratibu maalumu.

Ukuta huu umejengwa  miaka ya 1500 na utawala wa Kituruki enzi hizo *Ottoman Empire.*

Mji huu umegawanywa katika sehemu nne(lakini hazijagawanywa kwa usawa).

Sehemu hizo ni *Jewish Quarter, Islamic Quater, Christian Quarter, na Armenian Quarter.*

Katika sehemu hii ya *Islamic Quarter,* ndipo penye sehemu hii ambapo Hekalu la Yerusalemu lilijengwa.

*Sehemu hii ni takatifu sana sana kwa Israeli.*

Ndio sehemu ya kwanza kwa utakatifu katika dini ya Uyahudi(the first holiest site in Judaism)

Japo kwa sasa Hekalu halipo, lakini Waisraeli huogopa kabisa kupita-pita yale maeneo Hekalu lilisimama wakiogopa kuwa wanaweza wakanyage kale kaeneo palipokuwa na chumba cha *Patakatifu pa Patakatifu(Holy of holies),* maana wanahofu watapigwa shoti ya nguvu za Mungu na kufa papo hapo!

Nadhani unajua habari ya hiki chumba ambacho aliyeingia ni kuhani mkuu tu tena mara moja  tu kwa mwaka, siku ya upatanisho, *(Yom Kippur)* kila tarehe 10  mwezi wa saba (Tishrei) kwa kalenda ya Kiyahudi.

Tuache hayo kidogo.

Kiwanja hiki kitakatifu sana, kilinunuliwa na Mfalme Daudi kutoka kwa mtu mmoja mwenye asili ya Kiyebusi aliyeitwa *Arauna,* na alipokinunua alijenga madhabahu kubwa ya kitaifa hapo.

Ni Mungu mwenyewe alichagua kiwanja hicho.

Soma kwenye 2Samweli 24:18-25

Sehemu hii ikawa ni ya ibada za kitaifa za wana wa Israeli maana hakukuwa na hekalu.

Baadaye wakati wazo la kujenga Hekalu lilipoibuka, mahali hapa ndipo palipochaguliwa pajengwe hilo hekalu.

2Nyakati 3:1

*Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye alipotengeza mahali pale alipoagiza Daudi, katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi.*

HEKALU HILI LINAITWA HEKALU LA KWANZA, AU HEKALU LA SULEMANI, MAANA NI MFALME SULEMANI ALILIJENGA WAKATI WA UTAWALA WAKE.

Maandalizi ya ujenzi wa Hekalu yalianza na taifa zima walishiriki kufanya michango, kampeni kubwa iliyofanywa na Mfalme Daudi.

Hatimaye, Mwaka 950BC, Mfalme Sulemani anajenga Hekalu, akisaidiwa na Hiramu Mfalme wa Tiro.

*Jengo hili lilikuwa kubwa sana kuliko yote duniani kwa wakati huo!*

Watu walishiriki kazi ya ujenzi huo  walikuwa ni wafanyakazi 183,600!!

Ujenzi unafanyika kwa  kipindi cha miaka saba.

Si kwamba ulichukua muda mrefu hivyo kwa sababu michango ilisua-sua au kulikuwa kuna tatizo, bali jengo lilikuwa ni kubwa na la kisasa na kifahari sana kwa wakati huo.

Kiasi kikubwa sana cha madini ya dhahabu na fedha kilitumika kujenga Hekalu. (1Wafalme 5:9, 2Nyakati sura ya 2).

Pia Mfalme Sulemani anajenga Ikulu. (Hakukuwa na ikulu bado.)

Soma habari yote ya ujenzi huu kwenye 1Falme 5 na 6.

Kisha Hekalu linawekwa wakfu na *Mungu anaahidi kuwa moyo wake na Jina lake litakuwa ndani ya Hekalu.*

2Nyakati 7:16

*Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.*

Hekalu hili linakuwa ni mahali patakatifu sana sana kwa ibada za Waisraeli.

Kwa sababu hekalu hilo lilijaa uwepo wa Mungu, kulikuwa na utaratibu mgumu wa kuzingatia kuingia hapo maana ilikuwa ni mbele za Mungu.

Hekalu hili lilikuwa ni fahari kubwa sana sana kwa Waisraeli.

Lakini Mungu aliwaonya sana kuwa kama wasipokuwa watiifu wa sheria zake, hakika wataangamizwa ikiwemo hekalu hilo kubomolewa! Mungu asingejali hata kama ni nyumba yake, angeacha mataifa waibomolee mbali!

Lakini Waisraeli hawakushika sheria za Mungu.

Walionywa kwa muda mrefu na mara kwa mara hekalu lilikumbwa na matatizo mengi kama *kuvamiwa na kuibiwa vifaa vyake vya kipekee kama vyombo mbalimbali vya dhahabu.*

Lakini kwa vile Waisraeli hawakutubu, Mungu alifanya uamuzi mzito sana.

Mwaka 586BC tarehe 9 mwezi Av kwa kalenda ya Kiyahudi, *Hekalu lilibomolewa!!*

Lilikuwa limedumu kwa zaidi ya miaka 350.

Hekalu lillibomolewa wakati majeshi ya Nebukadreza mfalme wa Babeli yalipovamia Yerusalemu na kuwachukua Wayahudi uhamishoni huko Babeli.

Nebukadneza na majeshi yake walichoma mji wote wa Yerusalemu, ikiwemo kuharibu kabisa Hekalu hili!

Pia, Nebukadneza, aliua watu wengi mno jijini Yerusalemu, na maelfu waliosalia aliwachukua kuwapeleka uhamishoni Babeli.

Soma habari hii kwenye 2Wafalme 24-25, na 2Nyakati 36.

Mwaka 536BC, baada ya miaka sabini, Waisraeli/Wayahudi walioko uhamishoni Babeli wanaruhusiwa kurudi nyumbani Israel na wanaruhusiwa kujenga Hekalu lingine.

Mfalme Koreshi anawaahidi kuwasaidia ujenzi.

Soma 2Nyakati 36:22-23.

Chini ya uongozi wa kina Ezra, Zerubabeli na Yoshua, hekalu linajengwa, japo kwa upinzani mkali na katika mazingira magumu sana, na kuchelewa kwingi.

Bado hawakuwa na hali nzuri kiuchumi, lakini walitakiwa kujenga Hekalu.

Waliogopa kupokea misaada ya kutoka mataifa ya kigeni wakidhani hekalu litakuwa najisi.

Mungu anawaambia wasijali hilo maana *fedha na dhahabu ni mali yake.* Hagai 2:8

Pia, Wayahudi walihofia huenda Mungu hatakuwa anaonekana kwa utukufu mkubwa kama ule wa hekalu la kwanza.

Ila Mungu anawaambia *utukufu wa nyumba hii ya pili utakuwa ni mkubwa kuliko wa nyumba ile ya kwanza.* Hagai 2:9.

Vitabu vya *Ezra,  Hagai, Hagai* na *Nehemia* vinaeleza habari zote za ujenzi wa Hekalu la Pili pamoja na ujenzi wa ukuta wa Yerusalemu.

Hatimaye, Hekalu linakamilika na linawekwa wakfu baada ya kujengwa miaka kumi na tano!

HEKALU HILI LINAITWA NI HEKALU LA PILI, AU HEKALU LA HERODE MAANA MIAKA MINGI ILIYOFUATIA MFALME  HERODE ALIWAHI KULIFANYIA UPANUZI MKUBWA HEKALU HILO. ILIKUWA NI MWAKA 19BC.

Mwaka 170BC, mji wa Yerusalemu unatekwa na kutawaliwa na  *Antiochus Epiphanes.*

Antiochus anafanya mambo ya ajabu!!Anaua Wayahudi wengi huko Jerusalemu!

Kama hiyo haitoshi,  Antiochus anafanya chukizo kubwa sana, maana *anaingia hekaluni na kutoa sadaka ya NGURUWE madhabahuni!*

NI NAJISI KUBWA SANA KWA HEKALU!!

Pia, anachukua vyombo mbalimbali vya thamani vya kule hekaluni.

Sio hivyo tu, pia anazuia ibada zote za Wayahudi hekaluni na anapiga marufuku sadaka yoyote kutolewa na Wayahudi hekaluni.

Mambo haya yanaplekea vurugu kubwa iliyoitwa *Meccabean Revolt(Uasi wa Yuda Makabayo).*

Wayahudi walileta vurugu na vita hadi wakashinda mambo serikali ya Antiochus na Wayahudi wakajitawala kwa muda si mchache.

Hekalu linatakaswa tena na ibada zinaanza tena.

Huu ulikuwa ni ushindi mkubwa sana ambao Waisraeli hawatakaa wausahau.

Ndio maana huwa wanausherehekea hadi leo kwenye sherehe iitwayo *Hanukah*

Mwaka kati ya 6-4BC, Yesu anazaliwa, anawekwa wakfu hekaluni. Luka 2

Mwaka 40AD, aliyekuwa mfalme wa Dola ya Kirumi wakati huo, *Caligula,* anaamuru itengenezwe sanamu yake, na iingizwe kwenye kile chumba cha Hekalu la Yerusalemu, kile chumba cha Patakatifu pa Patakatifu!!

Lakini kabla amri hiyo haijatekelezwa, Caligula anafariki na hivyo amri hiyo ovu sana haikutekelezwa.

Hebu kidogo tazama haya Maandiko:

Mathayo 24:2 Marko 13:2 Luka 21:6 na

Luka 19:41-44 *NI MAENEO YESU ANATABIRI KUWA HEKALU LITABOLEWA TENA!!๐Ÿ˜ญ*

TENA HAPO LUKA 19 NI ANALIA KABISA MAANA HATA MJI MZIMA WA YERUSALEMU UTAHARIBIWA KABISA!

Hekalu litabomolewa kabisa-kabisa, hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe lingine!

Sababu ya uharibifu huo, ni kwa sababu Israel hawakutubu wala kumpokea Yesu kama Masiha wao(hawakujua majira ya kujiliwa kwao).

Hatimaye, miaka kama 40 iliyofuata, Yesu akiwa ameshapaa kurudi Mbinguni, *HEKALU LINABOMOLEWA TENA NA MAJESHI YA DOLA YA RUMI.*

Ilikuwa ni mwaka 70AD.

Cha ajabu sana, tukio hili lilitokea tarehe ile ile ambayo Hekalu la Kwanza lilibomolewa!!!

Ilikuwa tarehe 9 mwezi wa tano(Av) kwa kalenda ya kiyahudi.

Tarehe hii huitwa *Tisha B'Av*

Jipatie makala yetu iitwayo *Tisha B'Av* usome majanga yote ambayo yamekuwa yakitokea kwa Waisraeli tarehe hii. Utajua chanzo chake na sababu zake.

Jiji la Yerusalemu lilipigwa moto, na Hekalu likabomolewa kabisa, na Waisraeli wakafukuzwa kutoka Yerusalemu na Israel kwa ujumla, na kusababisha *Jewish Diaspora,* yaani utawanyiko wa Wayahudi katika mataifa mbalimbali duniani.

Hekalu la pili lilidumu kwa karibu miaka 600.

Mwaka 130AD mfalme wa ngome ya Kirumi, *(Roman Empire)* Hadrian, anatembelea magofu ya jiji la Yerusalemu, na anaamua kuujenga tena.

Hadrian aliwapa matumaini Waisraeli kuwa ataujenga tena huo mji na atawapa.

Lakini Mwaka 140AD mji ulipomalizika kujengwa, aliutoa mji huo kuwa zawadi yake, na akautoa kwa miungu yake.

Kama vile haitoshi, Hadria aliujenga mji kwa mtindo wa majengo ya Kirumi, na akatoa amri ya marufuku ya Wayahudi kutoingia mjini Yerusalemu isipokuwa mara moja kwa mwaka kwenye ile siku ya *Tisha B'Av*

Hatimaye baadaye Mfalme Hadrian akaamuru kujengwa kwa hekalu la *mungu jupiter* palepale ambapo Hekalu lilisimama!

Pia, anajenga hekalu la *mungu venus* pale *Calvary* Bwana Yesu aliposulibiwa.

Miaka mia sita baadaye, eneo la Isrel na Palestine yote ilianza kutawaliwa na na Waarabu.

Hiyo ilikuwa ni mwaka 636AD.

Mwaka 691AD, Waislamu wanadai Mtume Mohamed aliwahi kusafiri hadi hapo Yerusalemu na akafika eneo hilo ambapo Hekalu lilikuwa.

Eneo hilo la Hekalu Waislamu hudai ni eneo takatifu sana kwao, na lina hadhi ya tatu ya utakatifu baada ya Meka na Medina.

*HATIMAYE, WANAJENGA MSIKITIKI WA AL-SHAKHRAH PALEPALE AMBAPO HEKALU LILIKUWA LIMEJENGWA.*

*MSIKITI HUU NI MAARUFU KAMA DOME OF THE ROCK.*

Msikiti huu upo hadi leo, na unakuwa ni moja ya majengo ya zamani sana kudumu hadi leo.

Mita chache sana kutoka hapo ulipo msikiti wa *Dome of the Rock,* ndipo uliposimama msikiti maarufu wa *Al Aqsa.*

*HILI HEKALU LINA MAANA YOYOTE KWA MKRISTO LEO?*

Katika enzi hizi za Agano Jipya, *hekalu ni mioyo yetu.*

Hapa tunasema hekalu limekuwa *superseded* na mioyo yetu.

Mungu hakai tena kwenye Hekalu la Yerusalemu wala hatuhitaji kwenda Yerusalemu kutafuta kumwabudu Mungu.(Yoha 4:21, 24)

*Wakati huu, Mungu anakaa ndani yetu sisi tuliomwamini Yesu.*

Kama hekalu lilivyokuwa ni sehemu muhimu sana sana na takatifu mno Mungu aliyochagua kukaa, ndivyo ilivyo leo kwamba Mungu anachagua kukaa ndani yetu, na miili yetu hufanyika NDIO HEKALU LA MUNGU NA HIVYO ANAKAA NDANI YETU.

1Kor 3:16-17

*Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?*

*......Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.*

Kama ilivyokuwa na utaratibu mkali wa kuzingatia kwenye taratibu zote za Hekalu la Yerusalemu, ndivyo tunatakiwa kuwa makini sana sana katika kuenenda kwetu maana UWEPO WA MUNGU UPO NDANI YETU.

Pamoja na hayo, hekalu la Yerusalemu litajengwa tena, na hii inamaanisha msikiti wa Dome of the Rock utatakiwa kubomolewa na kuzusha vurugu kubwa sana duniani maana Waislamu hawataweza kuvumilia tendo hilo zito na gumu sana kwao.

Lakini ili mambo ya unabii wa nyakati za mwisho utimie, lazima Waisrael waubomoe na watajenga *Hekalu la Tatu.*

Kujengwa kwa Hekalu la tatu ni sekunde za *Unyakuo* wa watakatifu wa Mungu watakaokuwa duniani wakati huo, yaani Kanisa, watu waliookolewa. Matendo 2:47b

Unyakuo utatokea kwanza ili kupisha dhiki kuu kuanza kuwatafuna wale ambao watabaki duniani baada ya unyakuo.

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™*UNALIFAHAMU VIZURI HEKALU LA YERUSALEMU?*

Mwl Raphael Mtui(0762 731869)

*Leo tujifunze kuhusu hekalu ambalo limetikisa dunia, kwa karibu miaka 3000 iliyopita hadi leo!*

Hili ni lile *Hekalu la Yerusalemu.*

Ndio sehemu ya kwanza kwa utakatifu katika dini ya Uyahudi(the first holiest site in Judaism).

*UNALIFAHAMU VIZURI HEKALU LA YERUSALEMU?*

Lakini kwa vile Waisraeli hawakutubu, Mungu alifanya uamuzi mzito sana.M

waka 586BC tarehe 9 mwezi Av kwa kalenda ya Kiyahudi, *Hekalu lilibomolewa!!*

Luka 19:41-44  NI MAENEO YESU ANATABIRI KUWA HEKALU LITABOLEWA TENA!!

Unyakuo utatokea kwanza ili kupisha dhiki kuu kuanza kuwatafuna wale ambao watabaki duniani baada ya unyakuo

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: