Usikose semina nyingine nzuri ya neno la Mungu Jijini Dodoma itakayoongozwa na Mwalimu Mwakasege.
Semina hii

Itafanyika katika viwanja vya barafu ,Dodoma mjini
Terehe 
Mwezi 4,Mwambie mwenzako,amwambie mwenzake na mwenzake,Nyote mnakaribishwa sana.
Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: