Yohana 3:16
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamtoa mwanawe wa pekee ,ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.
Karibu kutazama video ya fundisho kuhusu somo la Nguvu ya Mwanamke kutoka kwa Dr. Myles Mun...
The man of God, Man of People, Askari wa Mungu na Mtu wa muhimu nabii/mwalimu Tb joshua umeenda,Pumzika kwa amani.Bwana ametoa Bwana ametwaa. Tunajua upo mbinguni sasahivi.LET LOV...