Hakuna muda wa kujiona mnyonge kwenye maisha kama una yesu,Hakuna muda wa kuwaza yaliyo pita kama una yesu.kuna muda wa kuwaza maneno mazuri ya mungu kama unae yesu ndani yako..Tazama "Mtu akiwa ndani ya yesu amekuwa kiumbe kipya,yakale yamepita na Tazama yamekuwa mapya" achana na habari zilizopita,chuchumilia ahadi za mungu kwenye maisha yako,yeye anasema "Mawazo ninayo wawasia ninyi ni mema" Asema bwana
 Therefore, if anyone is in Christ, the new creation has come:[a] The old has gone, the new is here! 2corithians 5:17
Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

1 comments: