💥BIBLE STUDY💥
Program: Christian theology & systemic theology.
(Kijana Mkristo-KM)
Sehemu 4
--------
Bwana Yesu asifiwe sana. Leo. Leo tunaendelea tena kama ilivyoada kwenye kipindi cha theolojia, na Leo tunaangalia juu ya
Majadiliano haya ndio chimbuko la mambo mengi ya muhimu unayoyajua leo juu ya Mungu na maandiko kwa ujumla. Tuanze pamoja na tumalize pamoja.
1. THE EXTENT OF NEW TESTAMENT CANON (MFUMO WA KUTENGENZA AGANO JIPYA)
👉🏼Naomba tuwe makini na hizi terms au misamiati ya kingereza nitakayoitumia kwenye kipindi hiki. Hii yote ni kuhakikisha sipotezi maana halisi ya maneno kwa kutumia lugha ya kiswahili.
🌤️Kama tulivyoona mwanzoni, ya kwamba Theolojia ya kikristo asili na chimbuko lake ni kwenye maandiko (scripture).
🌤️Kipindi kile cha patristic period au kipindi cha mafather au waanzilishi na waasisi wa hii theolojia, tuliweza kushuhudia maamuzi mengi wakiyafanya, moja ya uamuzi waliofikia kipindi kile ni huu hapa..
Au kuweka sawa na kuuunganisha maandiko ya agano jipya. Neno "canon" linahitaji ufafanuzi.
Neno hili limetokana na neno la kigiriki "kanon" likimaanisha kuongoza au a fixed reference point (sehemu pa kuanzia). Sasa maana ya CANON OF SCRIPTURE ni maandiko yenye mamlaka na yaliyowekwa pamoja na kupitishwa na Fathers ili yatumike kwenye kanisa la kikristo. Kwahiyo haya maandiko yote tunayoyatumia sasa hivi yamewekwa kwenye kitu kinachoitwa CANON.
MFANO: Injiri ya mtakatifu Luka ni "canical:" yaani imeptishwa itumike kwenye kanisa ila ijiri ya Thomas ni extracanonical (haikupitishwa). Naamini umeanza kuelewa namaanisha nini.
🌤️Kwahiyo,wakongwe hawa walikaa chini na tujadili maandiko yote ya agano la kale na jipya. Na yale waliyoyapitisha ndio walioyaweka kwenye canon of scripture.
Mpaka kufikia muda wa Father Irenaeus,ilipitishwa na kukubaliwa kuwa zipo INJIRI NNE TU (MATHAYO,LUKA,MARKO NA YOHANA).
Mwishoni mwa karne ya 2 mjadala mwingine ukakaliwa na kupitisha kuwa kitabu cha MATENDO YA MITUME na Barua za mtume paulo zina uvuvio wa Mungu (inspired scripture), kwa hiyo nazo zikaingia kwenye canonical of scripture.
🌤️Kufikia C.150 na C215) clement wa alexandria na wenzake walipitisha INJILI NNE,MATENDO,BARUA 14 ZA PAULO MTUME NA UFUNUO WA MITUME.
🌤️mwaka 367, Athanasius akatangaza na kuzungusha barua yake ya 39 ambayo ilijumuisha vitabu 27 vya agano jipya kama tunavyovijua leo.
🌤️Debate nyingi zikaendelea baada ya hitimisho hilo zilihusu idadi ya vitabu vinavyotakiwa kuwepo. Kwa mfano kanisa la mashariki walikuwa wanasitasita kuweka kitabu cha waebrania kwenye canon wakisema kuwa hakikuwa na uhakika kama kimeandikwa na Paulo mtume.pia na vitabu kama 2petro, 2 na 3 Yohana na yuda,mara kwa mara vilikuwa vinatolewa kwenye list ya vitabu vya agano jipya.
🌤️Baada ya hapo sasa likaja swala la mpangilio wa hayo maandiko. Makubaliano yamwanzoni yakafikiwa kuwa INJILI ZA YESU zikae mwanzoni kabisa mwa vitabu vya agano vikifuatiwa na MATENDO. Lakini kanisa la mashariki wao wakataka kuziweka barua 7 za roma (Yakobo, petro 1&2 , Waraka wa 3 wa Yohana na Yuda) kabla ya barua 14 za paulo (waebrania ilikubaliwa kama barua ya Paulo) lakini kanisa la magharibi wao wakaziweka barua za pualo 14 mara tu baada ya kitabu cha matendo baada ya hapo ndipo zikaa barua za roma au catholic letters. Kitabu cha ufunuo kilikuwa cha mwisho kwa pande zote 2.
🌤️mjadala huu wa mpandilo ulifungwa na wote wakaamua kufuata utaratibu wa kanisa la magharibi na wakakubaliana kuwa mada hii isiibuke tena.
🌤️Kipindi kijacho tutatazamia kitu kinachoitwa ECUMENICAL CREEDS (IMANIZA MAKANISA)
Zipp tatu tu
1. Apostles creess.
2. Nicene creed
3. Athanasian creed.
Stay tuned.
Cc; kijana mkristo.
Post A Comment:
0 comments: