KISHINDO CHA KONGAMANO KUBWA LA KWANZA LA JKK - JUMAMOSI 12.10.2019
Mbezi Beach Jogoo, Dar-Es-Salaam 


Historia imeandikwa Jumamosi 12.10.2019, kutokana na maelfu ya watu waliofurika katika Kongamano Kubwa la Kwanza la JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO (JKK), na mamilioni ya watu ndani na nje ya nchi ya Tanzania; 

waliolifuatilia mubashara (LIVE), Kongamano hilo, kupitia katika Televisheni,  Redio, na mitandao kadha wa kadha maarufu ya kijamii. Waasisi wa JKK wanawashukuru wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine, katika kumhubiri Kristo na kumpa heshima anayoistahili, kwa Kongamano hili. MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!!!
Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: