#Bible study
#Season1
#Epi 1

Naamini wote ni wazima
Leo nina swali kwa kila mtu humu tzworship

Je,ni sahihi mwa mwanamama au mwanamke kuanzisha huduma yake (kanisa) au kuwa mchungaji ama hata askofu?

๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
1timotheo 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.

12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.

Karibuni
Usiache kutembelea Tzworships.blogspot.com
Mawazo yenu wote yatawekwa kwenye blog (web) iyo hapo juu

Invite others

https://chat.whatsapp.com/BM4uUMJAdMi3hTPJa5Tz2D

Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: