IBADA JUMAPILI;

Kanisa: BCIC Temeke

Somo: UONGO

Mhubiri: Pst. Ndala

Matendo 5:1

Uongo ni nini?

-ni tabia ya kudanganya.

-maneno yasiyo na ukweli.

Yesu ni mambo yote ndani ya vyote

Lengo la somo hili ni kulikumbusha kanisa dhidi ya dhambi ya uongo.


Mambo 5 kuhusu uongo;

1. Uongo ni kazi ya mapepo wachafu (2 nyakati 18:19-22).

-unaposema uongo basi jua hiyo ni kazi ya pepo mchafu ndani yako.

2. Kusema uongo ni kitendo cha kukubali tabia ya uongo irandane nawewe au ni sawa na kuingia mkataba na shetani (Yohana 8:44).

-shetani ni baba wa uongo hivyo kila adanganyae ni mtoto wake.

3. Uongo ni moja ya machukizo 7 yanayomchukiza MUNGU

(Mithali 6:16-19).

4. Uongo ulimponza Gehazi akapata ukoma (2 Wafalme 5:20-27).

5. Yesu Kristo anatutaka majibu yetu yawe ndiyo au siyo (Mathayo 5:37).


Ni mara ngapi umesema uongo kwenye maisha yako? ni mara ngapi umekuwa ukitoa sababu za uongo?


Uongo ni dhambi kubwa inayokwamisha watu weni kupata ongezeko katika maisha yao.

Zaburi 141:43


Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: