Yule aliyekuwa akijiita Nabii tito kama mwaka mmoja uliopita na kukashifu sana imani ya wakristo na kufuru nyingi zisizo na maelezo,usiku wa kuamkia leo katika kanisa la BCIC MBEZI mbele ya mchungaji kiongozi GAMANYWA ,yeye pamoja na mkewe wamekata shauri na kumgeukia Yesu kristo.

NABII TITO

Hii ni kutimiza maneno ya yesu yesemayo,KILA GOTI LITAPIGWA KWAKE.


Mungu azidi kuwa kiongozi kwenye maisha yao na autunze wokovu wao.
Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: