"Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana BWANA, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha."
                    (KUMBUKUMBU. 31:6)

MSIWAHOFU WAKINA NANI

- Msiwahofu hao wanaowinda roho zenu,watesi wenu,maadui zenu ( katika ulimwengu wa roho) ikiwemo mapepo,wachawi,majini,wakuu wagiza!

IWENI HODARI KWA SABABU YESU NDIYE BWANA WA VITA,ATATUPIGANIA NASI TUTANYAMAZA KIMYA

Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: