Kama wewe ni mkristo basi bila shaka utakuwa ushawi kumsikia mtu huyu mashuhuri katika ukristo(wokovu) marekani na duniani kote kwa kujitoa kwake kuhakikisha injili inasonga mbele.

Leo hii tarehe 21-02-2018 billy graham kafariki dunia akiwa nyumbani kwake.Billy graham alikuwa akisumbuliwa na kansa kwa muda mrefu na ndiyo iliyopelekea kupoteza uwahi wake .Billy amefariki akiwa na umri wa miaka 99.

HABARI KAMILI IKIWEMO MAISHA YA BILY GRAHAM INAANDALIWA NA ITAKUJA SIKU SI CHACHE KWA MFUMO WA "EPISODE"

BWANA AMETOA,BWANA AMETWAA..JINA LAKE LITUKUZWE

*SEMA CHOCHOTE*

**********ENGLISH

MONTREAT, N.C. (AP) — The Rev. Billy Graham, who transformed American religious life through his preaching and activism, becoming a counselor to presidents and the most widely heard Christian evangelist in history, died Wednesday. He was 99.


Graham, who long suffered from cancer, pneumonia and other ailments, died at his home in North Carolina, spokesman Mark DeMoss told The Associated Press.


More than anyone else, Graham built evangelicalism into a force that rivaled liberal Protestantism and Roman Catholicism in the United States. His leadership summits and crusades in more than 185 countries and territories forged powerful global links among conservative Christians, and threw a lifeline to believers in the communist-controlled Eastern bloc. Dubbed "America's pastor," he was a confidant to U.S. presidents from Gen. Dwight Eisenhower to George W. Bush.


In 1983, President Reagan gave Graham the Presidential Medal of Freedom, America's highest civilian honor. When the Billy Graham Museum and Library was dedicated in 2007 in Charlotte, former Presidents George H.W. Bush, Jimmy Carter and Bill Clinton attended


******""

Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: