Kinachoonekana hapa, sio movie wala maigizo.
Hii ni Halisi, huyu mama anayejiita mungu Zumaridi, huwaa anaingiwa na Pepo mchafu, akishamwingia ndipo anaanza kuweweseka.

Kama uliwahi kuona movie za mazombie ndivyo Kanisani kwake, Watu wote mpaka wapambe wake hugeuka zombies.

Na anapokushika akakugusa kichwa anakuambukiza uzombie, nawe ukimshika mwenzako unamwambukiza huzombie hivyo hivyo mpaka Watu wote mwe mazombie, ndipo Pepo huyu ajiitaye mfalme Zumaridi, akiwa katika mwili wa mama huyu Diana, anaanza kuwahubiria.

Kumbuka mpaka uwe zombie ndipo utaweza kusikilizana naye, kila atachosema utaitikia tu
Utafanya tuu.

Wangapi walishaona ule wimbo wa Mike Jackson
Unaitwa 🤺 The Thriller.
Basi wale mazombie ndio huwa hivi.

Na huyu mama, anadai kuwa
Mike Jackson yupo kwake mwanza pamoja na  akina
Kanumba
Sharo milionea
Albert mangwea
Rais wa kwanza wa Marekani George Washington
Rais wa kwanza wa chini.
Adolf Hitler
Bob Marley
Lucky Dube
TuPac
Ruge mutahabwa
Efrem kibonde
Fanuel Sedekia
Mwalimu nyerere
Edward Sokoine
Na wengineo wengi
Akina Mez B, aliyeimba kikuku cha mama roda.
Amina chifupa nk.

Anasema wapo kwake, ipo siku atawadhiririsha katika mwili wa nyama, wataonekana live.

Mpendwa kama waamini hili ni Pepo,
Sambaza video hii ziwafikie Watumishi Wa Mungu wa Kweli ili Kanisa liombe na kufunga kwa ajili ya Pepo huyu, anayepoteza Roho za Watu.

Yuko wapi Eliya wa Leo?
Apambane na Ba'ali na manabii wake??

Ni huzuni kuona Tapeli huyu anaachiwa uhuru huku akitesa Watu kwa kuwavika mapepo.

Share video hii, mtumie
Mchungaji wako naye pia
Askofu pia
Shemasi pia
Wazee wa kanisa pia
Wainjilisti pia
Na kila Mtu wa Mungu mwenye uchungu na Jina la Mungu wa Mbinguni.👇🏾
Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: