Bwana Yesu asifiwe
Ni mwaka mwingine tena (2018) ambayo kila mtu ana mipango Mingi ya kufanikiwa kimaisha kwa nyacha zote (kiroho, kielimu, kiuchumi)
.. ........................
Tujifunze japo ambalo wengi wetu limekuwa kugumu kulielewa hasa tunapohitaji kufanikiwa.
NAMNA YA KUTUMIA FIKRA ILI KUFANIKIWA
Mith 23; 7th
"Aonavyo =afikirivyo= awazavyo=anavyo tafakari
*Fikra =mkusanyiko na mtiririko wa mawazo unaotengeneza msimamo wa kiutendaji ndani ya mtu .
Fikra = { sera ( kiuchumi)
Mila ( kijamii au kifamilia)
Fikra za mfanyabiashara ni tofauti na Fikra za mkulima.
* Fikra za soko
Fikra za kiubunifu
Fikra sawa na nyakati.
¤ Fikra huendana na mahitaji ya nyakati ( mwamvuli=mvua)
Kuna hatua kadhaa za kuzingalia ili tuweze kutumia Fikra ili kufanikiwa .........itaendelea
Na
Mwl Veronice Zaward
(DIC, BOCIAM )
DSM
Post A Comment:
0 comments: