"Yesu akawakazia macho, akasema, Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu." - MARKO 10:27

Kuna mambo mengi duniani ambayo yanaonekana kama nichangamoto sana kwa wanadamu kwa sababu ya kutokujua siri iliyopo nyuma ya kila kitu.

Mungu aliumba kila kitu kwa neno lake na  anategemea na sisi wanadamu kwa sababu tumeumbwa kwa sura na mfano wake tuweze kuyafanya magumu ya duniani yawe marahisi au yawezekane kwa neno lake. Pale penye shida tumia neno.Neno liwe ndio msingi wako

YOTE YANAWEZEKANA KWAKWE AAMINIYE.AMEN

Axact

Tanzania Worships

Haleluyah! Karibu katika ukurasa wa Tanzania Worships ambao ni maalumu kwa ajili ya kusambaza na kulihubiri Neno la Mungu anayeishi. je kuna maoni na ushauri unataka kuuutoa ili kuhakikisha ukurasa huu unawafikia waamini na wasioamini? basi usione shaka kuwasiliana nasi kwa njia ya mitandao ya kijamii

Post A Comment:

0 comments: